MISS TOURISM TANZANIA INTERNATIONAL

MISS TOURISM TANZANIA INTERNATIONAL
Miss Tourism Tanzania Pageants

Miss Tourism Tanzania Pageant

Miss Tourism Tanzania Pageant
We Welcome Miss Tourism Tanzania Organisation

Miss Tourism World 2005- Africa

MISS TOURISM TANZANIA PAGEANT

MISS TOURISM TANZANIA ORGANIZATION AT AN INSTITUTIONAL LEVEL


MISS TOURISM TANZANIA ORGANIZATION  AT AN INSTITUTIONAL LEVEL
"Miss Tourism Tanzania Pageant - At International Level"
Ni faonalo 5 za Taifa za Miss Utalii Tanzania ,zimefanyika tangu kuanzishwa kwake mwaka 2004. Tunaelekea katika fainali za 5 tukiwa ni shindano lenye mafanikio makubwa na ya pekee kuloko shindano jingine lolote Tanzania na kusini mwa bara la Afrika.
MAFANIKIO:
1.    Ni Shindano La Kwanza Nchini Kabla Na Baada Ya Uhuru Kutwaa Taji La Dunia.
2.    Ni Shindano Pekee Nchini Ambalo Kila Tunaposhiriki Mashindano Ya Dunia Tunatwaa Mataji Ya Dunia.
3.    Ni Shindano Pekee Nchini Ambalo Linashikilia Mataji Matano Ya Dunia.
4.    Ni Shindano Pekee Nchini Ambalo Kiongozi Na Mwasisi Wake Ameteuliwa Kushika Uongozi Katika Mashindano Mbalimbali Ya Dunia.
5.    Ni Shindano Pekee Nchini Ambalo Limeipa Tanzania Heshima Ya Kuwahi Kuwa Wenyeji Wa Fainali Za Dunia.
6.    Ni Shindano Pekee Nchini Ambalo Pamoja Na Kupigwa Vita Na Waandaaji Wa Mashindano Mengine, Limeweza Kufanya Fainali 5 Bila Ya Kuwa Na Wadhamini Wakuu,Tena Kwa Udhamini Wa Chini Ya 12% Ya Mahitaji Ya Bajeti.
7.    Ni Shindano Pekee Ambalo Pamoja Na Kutokuwa Na Wadhamini , Tumetoa Zawadi Kubwa Kwa Washindi Kila Mwaka.
8.    Tumefanikiwa Pia Kulijenga ,Kulitangaza Na Kulikuza Hadi Kuwa Moja Ya Mashindano Makubwa Nchini Na Afrika
9.    Aidha Kutokana Na Uongozi Bora Na Imara Wa Miss Utalii Tanzania, Dunia Ileiteua Tema Tanzania Kuwa Wenyeji Wa Fainali Za Dunia 2012/2013.
SASA TUMEFUNGUA UKURASA MPYA WA MAGEUZI YA KIHISTORIA YAFUATAYO
Tumegawanya shindano katika ngazi kuu 4:
1.     Ngazi ya Fainali za Mikoa,Wilaya na Majimbo
2.     Ngazi za Fainali za Kanda
3.     Ngazi za fainali za Kanda Maalum za Vyuo Vikuu
4.     Na ngazi ya Fainali za Taifa.
Kwa lengo la kuimalisha ubora na uendeshaji, Kila ngazi itaendeshwa na kampuni tofauti  itakayo shinda tenda yakuendesha kuanzia mwakani.Hii ni moja ya hatua za kuboresha na kuimarisha uongozi na utawaka katika ngazi mbalimbali za shindano,ili kukidhi matakwa ya soko na utimizaji wa malengo ya shindano hili. Kwa lengo la kutimiza malengo ya shindano ya kutangaza utalii na utamaduni kimataifa  kuanzia fainali za Taifa mwaka huu, shindano la Miss Utalii tanzania litakuwa ni la kimataifa kwa maana ya Miss Tourism Tanzania International ambapo kutakuwa na washiriki watakao alikwa kutoka nchi za nje kutoka mabara yote duniani,ambao watawania taji la Miss Tourism Tanzania- International Award sambamba na taji la watanzania pekee la Miss Utalii Tanzania. Kuanzia mwaka huu fainali za taifa zitarushwa LIVE katika mitandao na Televisheni Duniani kote, ikiwa ni fulsa kwa Tanzania kujitangaza kimataifa. Pamoja na tuzo mbalimbali za utalii,utamaduni,mitindo,vipaji na za jamii, kuanzia fainali za mwaka huu tutatoa tuzo ya RAIS yani Miss Tourism tanzania – RESIDENT AWARD ,ambayo itatolewa kwa mtu yeyote aliye toa mchango nwa pekee katika kukuza na kutangaza utalii kitaifa na kimataifa kila mwaka.

2 comments:

Unknown said...

Nice photos ! So fly

Anonymous said...

Hi, i read your blog occasionally and i own a similar one and i was just curious if you get
a lot of spam remarks? If so how do you prevent it, any plugin or anything you can suggest?
I get so much lately it's driving me crazy so any assistance is very much appreciated.

My web-site Jackpot 6000