Jumla ya warembo arobaini
kati ya sitini wa Miss Utalii Tanzania kutoka mikoa yote ya Tanzania.tayali
wameripoti kambini leo,kuanza kambi Taifa ya siku 21 kuanzia leo. Kambi hiyo mwaka huu iko katika
Hoteli ya Ikondelelo Lodge iliyoko Kibamba Dar es Salaam.
Warembo walio ripoti kambini
hadi sasa ni kutoka mikoa ya Arusha (Rose Godwin), Dar es Salaam 1 (Sophia
Yusuph),Dar es Salaam 2(Ivon Stephen),Dar es Salaam 3 (Irine Thomas),Dodoma (Erica
Ekibariki), Geita (Hamisa Jabiri), Iringa (Debora Jacob), Kagera 1(Elline
Bwire), Kagera2 (Jania Abdul), Kagera
3(Mulky Uda), Kilimanjaro (Anna Pogaly),
Lindi (Joan John), Mtwara (Halima Hamis),Mara (Dorine Bukoni), Manyara (Mary C.
Lita), Mbeya (Diana Joachim), Mwanza (Jesca Peter), Morogoro (Hadija Said),Tanga
(Sarafina Jackson), Tanga (Leah Makange), Tabora (Magreth Malalle), Njombe (Pauline
Mgeni), Rukwa (Anganile Rogers), Katavi (Asha Ramadhani ), Simiyu (Flora Msangi),
Shinyanga (Lightness Kituwa), Ruvuma (Furaha Kinyunyu), Kigoma 1(Zena Ally), Kigoma
2(Rosemary Emmanuel), Pwani (Beatrice Iddy), Singida (Neema Julius), Singida
(Christina Daud),Vyuo Vikuu (Irine Richard), Vyuo Vikuu (Hawa Nyange)
Warembo wote wakiwa
kambini,watapewa mafunzo na semina mbalimbali kuhusiana na Utalii, Utamaduni,
Uwekezaji, Afya ya Jamii, Elimu ya Jamii, Wanyama Pori, Mazingira,
Madini,Ulinzi Shirikishi n.k, chini ya jopo la wakufunzi la mashindano haya
wakiongozwa na mkufunzi mkuu (Chief Choreographer) Erasato Gideon, pamoja na Mkufunzi
Mkuu wa Ngoma za Asili Mariam A. Kweji toka Kaole Sanaa Group,Mkufunzi wa
Miziki na Dansi la Asuku Che Mundugwao,wakufunzi wa minato na miondoko ya
Urembo na Mitindo Caroline Y. Mrosso na Evamary Gamba .
Asante.
Fredy Tony Njeje
Mkurugenzi wa Masoko na
Mahusiano
No comments:
Post a Comment