Shindano hili linasaidia pia Kuhamasisha pia Kampeni dhidiya , Uharibifu wa mazingira, Uvuvi
Haramu, Uwindaji Haramu, Tohara kwa wanawake, Utamaduni, mila na Desturi kongwe
na Potofu.Madawa ya kulevya, Rushwa, Ubaguzi wa Kijinsia, na Mmomonyoko wa
Maadili katika jamii.
Wakati huo serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii
imewapongeza juhudi zinazo fanywana Waandaaji wa Miss Utalii Tanzania za kutangaza vivutio vya utalii na utamaduni
wa Tanzania kitaifa na kimataifa kwa kuipatia Sifa kubwa Tanzania kupitia
mashindano hayo. Kwa mujibu wa maelezo ya Barua ya Tarehe 19.04.2013 iliyo
sainiwa na Ndugu Z. A Kimwaga kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili
na Utalii kwenda kwa waandaaji wa Miss Utalii Tanzania. Wizara na serikali kwa
ujumla inatambua juhudi zinazofanywa na waandaaji wa mashindano haya katika
kukuza utalii wa ndani na Utalii wa Kitamaduni.
Katika kuthibitisha hilo Wizara imewashauri waandaaji wa
mashindano hayo kuwaslisha maoombi ya msaada kutoka serikalini kwa wakati na
kwa kuzingatia misimu na Bajeti ta serikali ili kuwe na uwezekano wa serikali
Kudhamini mashindano hayo.
Hata hivyo Serikali kupitia Taasisi zake za Mamlaka
ya Hifadhi ya Taifa(TANAPA) , Mamlaka ya Ngorongoro(NCIA), na Bodi ya Utalii
Tanzania (TTB) kwa miaka yote ikiwepo mwaka huu imekuwa ikitoa udhamini wa Hali
na Mali katika kufanikisha Mashindano hayo.
Nae Rais wa Mashindano hayo Gidion Chipungahelo kwa niaba ya
Bodi ya Mashindano amewaomba Radhi watanzania wote , wadau w ashindano ,
washiriki, wadhamini na wengine wote walioguswa au kuathiriwa kwa namna yoyote
3 comments:
You don't have to hit the gym for two and three hours each day to lose weight, but it does help to squeeze in 30 minutes of physical activity each day. Cucumber contains sterols which can help to lower cholesterol and prevent carbohydrates from converting to body fat. Expect to lose all that extra flabbiness as you melt off all your unwanted fat.
Here is my homepage: http://photofan.jp/camera/html/userinfo.php?uid=18912
The first group were asked to listen a nutrition and
fitness related podcast a few times a week. Using social media for marketing your company, products or services is a superb method of getting clients and enhance your sales.
With the new advanced birdy adder pro you get awesome technical assistance.
My webpage: how to delete twitter account from phone
I have been in touch with many musicians, artists that I
would have never heard before. Unlike broadcast radio which is an audio-only medium, Internet radio stations are free to
offer interactive programming and can include images, animation, and even video.
Most stations will give you names of their more popular hosts and ask you to talk
with them.
My web site - Universal Network - Seo Danışmanlığı
Post a Comment