Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WASHIRIKI MISS UTALII KANDA YA ZIWA 2012- KUCHUANA 30-6-2012


Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012 - KANDA YA ZIWA, wakiwa katika picha ya pamoja, tayari kwa shindano la Miss Utalii Tanzania 2012 - KANDA YA ZIWA litakalofanyika 30-6-2012 katika Hoteli ya kitalii ya MONARCH KOTEL MWANZA.Jumla ya warembo 12 watapanda jukwaani ,wakiwakilisha mikoa ya Mwanza,Geita,Tabora, na Simiyu

No comments: