Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

MISS UTALII ILALA NA KINONDONI 2012 KUFANYIKA IJUMAA TAREHE 14-9-2012 LAMADA HOTEL ILALA BOMA

MISS UTALII KINONDONI 2012 NA MISS UTALII ILALA 2012 KUPATIKANA IJUMAA TAREHE 14-9-2012 KATIKA HOTELI YA KITALII LAMADA HOTEL -ILIYOPO ILALA BOMA.
Jumla ya warembo 26 ,13 wa Ilala na 13 wa Kinondoni watachuana kuwania mataji ya Miss Utalii Ilala 2012 na Miss Utalii Kinondoni 2012katika ukumbi wa hoteli ya kitalii ya Lamada Hotel iliyopo Ilala Boma karibu na Msimbazi Centre  Dar Es Salaam Ijumaa Tarehe 14-9-2012 kuanzia saa 2.30 Usiku. Katika shindano hilo Bendi ya FM Accademia a.k.a wazee wa Ngwasuma na Bendi ya Muziki waTaarabu ya T Moto Watatumbuiza sambamba na Vikundi vya Ngoma za Asili na Muziki wa Kizazi Kipya. Viingilio katika shindano hilo ni VIP shilingi 30,000/= na Viti vya kawaidani Sh.10,000/=.No comments: