Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WATAALAM WA MATUKIO NA WAANDAAJI WA UREMBO WA KITALII NA KUTEMBELEA KAMBI LEO KATIKA HOTELI YA KITALII YA IKONDOLELO LODGE.

 WAANDAAJI WA MISS UTALII TANZANIA WAKIWA WANATEMBELEA MAENEO MBALIMBALI YA YA IKONDOLELO LODGE . HAPA WALIKUWA WAKIELEKEA SWIMMING POOL.
 WAJUMBE WA KAMATI YA MISS TOURISM TANZANIA 2012 WAKIWA WANATAZAMA BUSTANI ILIYOPO IKONDOLELO LODGE
 WATAALAM WA MAMBO YA MATUKIO NA WAPIGA PICHA ZA VIDEO PAMOJA NA MNATO WAKIWA WANATAZAMA BAADHI YA PICHA WALIZO PIGA WAKATI WAKIWA IKONDOLELO LODGE
 UJUMBE WA KAMATI YA MAANDALIZI YA MISS TOURISM TANZANIA 2012, WAKIWA KATIKA ENEO LA KULALA WAGENI.
 MKURUGENZI WA IKONDOLELO LODGE WA KWANZA PAMOJA NA WAJUMBE WA MISS TOURISM WAKITAZAMA MAMBO MBALIMBALI 
 WAJUMBE WAKISIKILIZA JAMBO KWA UMAKINI MKURUGENZI WA IKONDOLELO WA KWANZA KULIA AKISISITIZA JAMBO NA KUFUNGA KIKAO 

No comments: