Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

HIVI NDIVYO ZOEZI LA KUTABASAMU LINAPO KUWA NA STYLE ZAKE , TAZAMA HAPA Hapa Baadhi ya Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanajitahidi kutabasamu mpaka Mwisho
 Hapa warembo hawa ambao ni washiriki wa Miss Utalii 2012/13 wakiwa wanajikakamua kutoa Tabasamu la Nguvu
 Zoezi La kutabasamu Linaendelea Hapa 
 Hapa ilikuwa ni Kazi sana Ambapo Washiriki wa Miss Utalii 2012/13 walikuwa kila mmoja akitaka tabasamu zaidi kama anavyo onekana Mshiriki wa kwanza Kushoto pamoja na anaemfuatia
 Mcheki Mshiriki wa Miss Utalii 2012/13 si kwamba amenuna Lakini anawaza ni Jinsi Gani atatoa Tabasamu lake

No comments: