Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

TAMASHA KUBWA LA MISS UTALII VIPAJI KUFANYIKA JUMAPILI HII 27.01.2013, IKONDOLELO LODGE HOTELI YA KITALII ILIYOPO KIBAMBA

Jinsi ya Kufika:
Kama unatokea Ubungo , Unachukua Basi kutoka Kituo cha mabasi madogo unapanda basi la Mbezi Mwisho kupitia Njia ya Kimara kisha unashukia Kituo cha Mwisho kabisa cha Mbezi, Baada ya hapo unapanda Basi linalo elekea Kibamba, Mlandizi au Kibaha, Unashukia Kituo kinaitwa NJIA PANDA SHULE. Ukishuka hapo ndio unakuja moja kwa moja Ikondolelo Lodge.

Kwa wanaotokea maeneo ya Njia inayo tokea Kibaha unashukia NJIA PANDA SHULE

No comments: