Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

MATUKIO MBALI MBALI YA SHOW YA SHINDANO LA TAIFA LA MISS UTALII VIPAJI LILILO FANYIKA MSASANI BEACH CLUB


 Mwanamuziki wa Kimataifa wa Ngoma za Kimataifa Che Mundugwao akiwa na Washiriki wa Miss utalii Tanzania 2012-13 katika show ya ufunguzi wa shindano hilo.
 Majaji wa Shindano la Miss Utalii Vipaji 2012-13 wakiwa wanajiandaa kutoa matukio ya walioshinda katika 10 Bora
 Hawa ndio washiriki wa Miss Utalii vipaji 10 waliofanikiwa kuingia katika 10 Bora. Kutoka kulia ni Miss Utalii Ruvuma,Manyara,Lindi,Zanzibar,Dar es salaam 1,Kagera 1,Vyuo vikuu 1 Kigoma,Dodoma, Katavi
 Raisi wa Miss Utalii Tanzania Mh. Gidion Erasto Chipungahelo akiwataja washindi kumi walio fanikiwa kuingia katika fainali za Miss Utalii Vipaji
 Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan akiwapongeza Washiriki wa Miss Utalii Tanzania walio Fanikiwa kuingia katika nusu fainali hiyo ya Vipaji

 Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan akiwa anacheza Kwaito pamoja na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13
 Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan wa Jimbo la Kinondoni akizungumazia juu ya show nzima ya vipaji jinsi ilivyo kuwa.
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa wanacheza ngoma ya Kandindi katika ufunguzi wa show yao.
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa katika mavazi ya ubunifu
 Anaitwa Dogo Ginious ambaye ni msanii anayechipukia akitumbuiza wakati wa Show hiyo ya Miss Utalii Vipaji 2012-13
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa wanacheza ngoma ya kwetu Mahenge
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa katika kucheza ngoma za asili
 Kutoka Kushoto ni Rais wa Miss Utalii Tanzania Mh. Gedion Erasto Chipungahelo,Jaji wa Mashindano , Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan, na Jaji wa Shindano hilo wakitazama show hiyo ya vipaji.
 Washiriki wa Miss utalii Tanzania 2012-13 wakiwa wanaonesha show maalum kwa ajili ya ngoma kutoka mikoa Mbalimbali
 Wataalam wapiga ngoma kutoka kundi la Kaole wakipiga ngoma hizo wakati warembo wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakicheza
 Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan wa pili  kutoka Kushoto akifuatilia show kwa umakini

 Muheshimiwa Mbunge Iddy Azzan akiwa anacheza Kwaito pamoja na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa wanacheza ngoma ya Kandindi katika ufunguzi wa show yao.

No comments: