Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 WAFANYA MASHINDANO YA KUKIMBIA KATIKA UFUKWE WA MSASANI BEACH CLUB.

 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa wanajiandaa kuanza kukimbia 
 Hapa wakiwa wamejiweka sawa kwa ajili ya kuanza kukimbia 
 Shindano Limeanza kwa kasi  ambapo kila mshiriki anakimbia kwa kasi kila mmoja akitaka kufika nafasi ya ushindi.
 Mbio zimepamba moto zaidi ambapo sasa kasi inaongezeka ni moto sana 
Hapa kuna vumbi mpaka balaa sana kila mtu sasa anakomaa kuwa mshindi

 Hapa washindi wa awamu ya kwanza wakiwa wamemaliza kukimbia 


 Ilikuwa ni full happy hapa ambapo washiriki wanafurahi kila mmoja aliye shinda na walio shinda wote wapo wanafurahi
 Sasa ni Sehemu ya Pili
 Hii ilikuwa ni sehemu ya mwisho ambapo Mshiriki wa miss Utalii 2012/13 kutoka Mara ndiye aliye ibuka kuwa mshindi akifuatiwa Mshiriki kutoka Katavi na Manyara
 Wakifurahia Ushindi

No comments: