Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 kesho kujumuika na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali katika Tamasha la Nipe Fagio
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 kesho wataungana na viongozi mbalimbali wa Serikali, wake za Marais pamoja na watu mbalimbali katika kusafisha maeneo ya Bahari Aghakan jijini Dar es salaam. 

Tamasha hilo kubwa ambalo limeandaliwa na Nipe Fagio , watafanya usafi huo ikiwa ni sehemu moja wapo ya kutambua umuhimu wa 
Mazingira hasa katika fukwe za Bahari ambapo ndipo kuna uchafuzi wa Mazingira zaidi kutokana na watu kuto tambua umuhimu huo.

Katika Tamasha hilo warembo washiriki watapata nafasi ya kujua mambo mbalimbali kuhusiana na Mazingira pamoja na kushiriki
mambo mengine mbalimbali. Tamasha hilo litaanza saa 7:00 asubuhi na kuendelea.

No comments: