Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 Walipotembelea Katika Manspaa ya Ilala

Washiriki wa Miss Utalii 2012/13 wakisikiliza jambo wakati wa Ziara katika Manspaa ya Ilala.
Washiriki wa Miss Utalii 2012/13 wakiwa katika pozi katika mnara wa  Mwenge wakati wa Ziara katika Manspaa ya Ilala.
Washiriki wa Miss Utalii 2012/13 wakiwa katika mnara wa Mwenge ulipo mnazi mmoja  wakati wa Ziara katika Manspaa ya Ilala.
Wakipunga Mkono kwa Mashabiki waliokuwa wakifuatilia Ziara hiyo

Mnazi Huu ndiyo ambao umeipa jina kubwa Halmashauri ya Manspaa ya Wilaya ya Ilala, ni mnazi ambao ni wa Historia(Picha kwa Hisani ya Miss Tourism Tanzania.)

No comments: