Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 WAKIWA KATIKA MOJA YA MITAA YA JIJINI DAR ES SALAAM KUSHUHUDIA MAISHA HAYO YALIVYO.


 Mmoja ya Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 akiwa anambebeleza mtoto aili apate kulala
 Washiriki hawa wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wenyewe waliamua wapunge upepo tuu hapa chini ya mti, ikiwa ni mapumziko katika mtaa huo.
 Mmoja ya Washiriki akiwa amebeba Mtoto katika mtaa huo
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika moja ya Duka Dogo mtaani wakinunua Mahitaji yao mbalimbali na kuulizia zaidi juu ya Mtaa huo.
Baadhi ya Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa wamekaa katika moja ya Mitaa wakijadili mambo kuhusu maisha ya watu wanaokaa katika eneo Hilo, Wa kwanza kutoka kulia ni Mrembo kutoka Mkoa wa Manyara akisikitika kwa kile alicho kiona katika mtaa huo.

No comments: