Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

BAADA YA KUAHIRISHWA KAMBI YA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 YAANZA UPYA KWA KISHINDO,WAFANYA SHEREHE NA WANYAMA NDANI YA SAADANI NATIONAL PARK.

Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakifurahia Kuingia Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika Ofisi ya mapokezi Getini Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika lango kuu la Kuingia Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakishangilia mapokezi Saadani National Park 
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakipata Maelezo Getini kutoka kwa Maofisa wa Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika picha ya pamoja na Maofisa lango kuu la kuingilia Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika picha ya pamoja lango kuu la Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakipata maelezo kutoka kwa muongoza watalii Saadani National Park 
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa makini kunakili Dondoo muhimu kutoka kwa muongoza watalii Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Safari  ya kutembea kwa Miguu ndani ya Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiendelea na safari za Miguu, hapa wakivuka mto ndani ya Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakiwa Makini na mizigo yao wakivuka mto Saadani National Park 
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakifurahia ubora wa usafiri wa TANAPA wakiwa wanatalii Saadani National Park
 Baadhi ya Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wamepata ujasili wa kuvuka mto baada ya wenzao kuvuka ndani ya Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakianza  Safari ya kutembelea wanyama Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 baada ya kutembelea Hifadhi mchana , baadae usiku wakijiburudisha kwa kucheza ngoma za asili za Makabila mbalimbali
 Usiku wa ngoma za asili  ndani ya Saadani National Park wa Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakionesha umahili wa kucheza Ngoma za asili Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakipata maelezo kutoka kwa Muhifadhi utalii Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa mbele ya mabaki ya mafuvu ya wanyama ndani ya Saadani National Park
Shangwe za usiku wa Ngoma za Asili wa Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  Saadani National Park
Picha ya Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  katika bwawa la kuogelea la Saadani Safari Lodge
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakianza Safari kitalii siku ya pili ndani ya Saadani National Park 
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakiwa wamepozi katika Bwawa la Kuogelea Saadani National Park 
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakionesha moyo wa kizalendo kukwamua Gari Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakiwa wamefanikiwa kukwamua Gari iliyo kwama Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiendelea na safari ya kitalii baada ya kufanikiwa kutoa msaada wa kukwamua Gari Saadani National Park

No comments: