MISS TOURISM TANZANIA INTERNATIONAL

MISS TOURISM TANZANIA INTERNATIONAL
Miss Tourism Tanzania Pageants

Miss Tourism Tanzania Pageant

Miss Tourism Tanzania Pageant
We Welcome Miss Tourism Tanzania Organisation

Miss Tourism World 2005- Africa

MISS TOURISM TANZANIA PAGEANT

KANDA YA KUSINI WENYEJI FAINALI MISS UTALII TANZANIA 2020/2021

katika kuunga mkono juhudi za serikali za kukuza utalii na kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo ukanda wa kusini wa utalii wa Tanzania, kamati na bodi ya mashindano ya Miss Utalii Tanzania, imeazimia kwa kauli moja kiwa fainali za taifa za Miss Utalii Tanzania 2020/2021 zitafanyika katika moja ya mikoa iliyopo ukanda wa kusini wa utalii. Fainali hizo zitakazo shirikisha zaidi ya warembo 50 wenye mataji ya mikoa na kanda, zimepangwa kufanyika mwezi Julai 2021. Hii ni fulsa kwa mikoa ya kusini mwa Tanzania,taasisi binafsi,taasisi za umma na wafanya biashara binafsi kujitangaza kitaifa na kimataifa. Fainali za Taifa za Miss Utalii Tanzani 2020/2021, zitafanyika katika moja ya mikoa ifuatayo Iringa,Njombe,Lindi,Mtwara,Mbeya,Songwe au Ruvuma ambayo kwa pamoja inaunda kanda ya kusini ya Utalii. Utaratibu ambao utatumika kuteua mkoa wenyeji wa fainali hizo ni kwa mikoa yote hiyo kupigiwa kura na jamii, na mkoa utakao pata kura nyingi zaidi ndio utakuwa wenyeji wakuu wa fainali hizo.Mkoa utakao fuatia utakuwa wenyeji wa fainali za awali za vipaji na wa tatu utakuwa wenyeji wa fainali za awali bza tuzo za utalii,utamaduni,uwekezaji na mitindo.

No comments: