Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

BASATA NA SHINDANO LA MISS UTALII ~ MTAA KWA MTAA

MISS TOURISM TANZANIA CONTESTANT


MISS TOURISM TANZANIA CONTESTANTS

MISS UTALII TANZANIA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA FILM DIRECTORS ASSOCIATION
Waandaaji wa shindano la Miss Utalii Tanzania (MTT), ambao ni Miss Tourism Tanzania Organisation (MTTO),wamefungua ukurasa mpya kwa kuanzisha ushirikiano na tasnia ya filamu nchini. Kwa kuanzia tumewateua chama cha waongoza filamu Tanzania (Tanzania Film Directors Association(TAFIDA) mkoa wa Kinondoni,Ilala na Temeke kuwa waandaaji wa fainali za Mkoa wa  Miss Utalii Tanzania 2012 - Dar es Salaam, Miss Utalii Tanzania 2012 - Temeke na Miss Utalii Tanzania 2012 - Ilala.

Wakithibitisha abari hizo kwa nyakati tofauti, Rais na Mtendanji mkuu wa mashindano hayo Erasto Gideon Chipungahelo, alisema kuwa " Tumeamua kushirikiana na tasnia hiyo ya filamu hususani waongozaji hao wa filamu, ili kupanua wigo na fulsa ya sanaa kutangaza utalii na utamaduni wa Tanzania kitaifa na kimataifa. Tunaamini kuwa iwapo sanaa ya filamu kama ilivyo kwa shindano la Miss Utalii Tanzania vikitumiwa vyema vitatoa mchango mkubwa katika kukuza sekta ya Utalii nchini, kwani ni dhahiri kuwa sanaa ya filamu kama ilivyo mashindano ya haya ikiweza kufanyika kitamaduni na kwa kuzingatia maadili na utamaduni wetu lengo la kuifanya Tanzania kuwa moja ya nchi hiongozi kwa mapato ya utalii Duniani litatimia hwa haraka

No comments: