Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

MAANDALIZI MISS UTALII TANZANIA NGAZI ZA KANDA 2012 YASHIKA KASI

Baada ya karibu mikoa yote  kukamilisha fainali za Miss Utalii Tanzania 2012 ngazi za  mikoa , sasa kanda mbalimbali za mashindano haya zinaendelea na maandalizi ya fainali za Miss Utalii Tanzania 2012 ngazi za kanda.fainali hizo za kanda ndizo zitakazotoa wawakilishi wa kanda na  mikoa ya kanda hizo katika fainali za Taifa za Miss Utalii Tanzania 2012, ambapo zaidi ya warembo 80 wenyemataji ya Miss Utalii Tanzania ngazi za  kanda na mikoa, wata shindana kuwania taji la Taifa la Miss Utalii Tanzania 2012, huku wakitangaza utalii na utamaduni wa Tanzania kitaifa na kimataifa.


Jumla ya kanda 12, zitafanya fainali zake za kanda kati ya mwezi Juni na Agosti 2012, kanda hizo ni ;


 1. Miss Utalii Tanzania 2012- Kanda ya kusini - 7-7-2012 - Mbeya
 2. Miss Utalii Tanzania  2012 - Kanda ya Kati - 8-8-2012 - Morogoro
 3. Miss Utalii Tanzania 2012 - Kanda ya Ziwa - 26-6-2012 - Mwanza
 4. Miss Utalii Tanzania 20112 - Kanda ya Mashariki -31-8-2012 - Dar es Salaam
 5. Miss Utalii Tanzania 2012 - Kanda ya Kaskazini - 24-8-2012 - Arusha
 6. Miss Utalii Tanzania 2012 - Kanda ya Magharibi - 18-8-2012 - Katavi
 7. Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu 2012 - Kanda ya Kati -30-11-2011 - Dodoma
 8. Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu 2012 - Kanda ya Kaskazini 11-8-2012 - Kilimanjaro
 9. Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu 2012 - Kanda ya Mashariki 10-8-2012 -Tanga
 10. Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu 2012 - Kanda ya Ziwa 3-8-2012 - Mara
 11. Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu 2012 - Kanda ya Kusini 4-8-2012 - Irimga
 12. Miss Utalii Tanzania Vyuo Vikuu 2012 - Kanda ya Magharibi -25-8-2012 - Kagera

MISS TOURISM TANZANIA 2012 - UNIVERSITY CENTRAL ZONE

Mikoa ambayo bado haijakamilisha fainali zake ,ikiwemo mkoa wa Dar es Salaam , imetakiwa kukamilisha fainali zake kwa kuzingatia kalenda hii ya fainali za kanda.

No comments: