Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

MALENGO /VIPAUMBELE VYA MISS UTALII TANZANIA VYATAJWA

Bodi ya Mashindano ya Miss Utalii Tanzania , imetangaza malengo na vipaumbele vya mashindano ya Miss Utalii Tanzania kuwa ni kuhamasisha, kutangaza na kuelimisha juu ya :
 1. Elimu
 2. Utalii
 3. Utamaduni
 4. Mazingira
 5. Mianya ya Uwekezaji
 6. Wanyama Pori na Uwindaji Haramu
 7. Viumbe bahari na Uvuvi haramu
 8. Afya ya Jamii
 9. Ujasiliamali wa Kitalii na Vita dhidi ya Umasikini
 10. Tamaduni kongwe na potofu pia Tohara kwa wanawake na ubaguzi wa kijinsia
 11. Matumizi ya Bidhaa za Tanzania

  No comments: