
Baada ya mchucho wa awali, wa mikoa ambayo ilikuwa inawania nafasi ya kuwa wenyeji wa fainali za taifa za Miss Utalii Tanzania 2012, hakimaye Bodi ya Taifa imechuja na kubakiza mikoa nane ambayo itapigiwa kura na wananchi, kupitia mitandao ya kijami,website, magazeti,simu ,redio na televisheni kuanzia tarehe 2-8-2012. Mikoa hiyo ni Mwanza,Arusha,Tanga,Morogoro,Dodoma,Iringa,Kagera na Mbeya
No comments:
Post a Comment