Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

MISS UTALII TANZANIA KUFANYIKA SIKU YA UHURU KILA MWAKA


Bodi ya Taifa ya Mashindano ya Miss Utalii Tanzania /Moiss Tourism Tanzania Organisation, imetangaza kalenda ya kudumu ya mashindano ya Miss Utalii Tanzania  kila mwaka. Kuanzia mwaka huu fainali za Taifa za mashindano hayo zitakuwa zikifanyika mwezi Disemba ,sambamba na sherehe za Uhuru wa Tanzania."Mashindano haya ni Alama ya Urithi wa Taifa" hivyo siku ya taifa la Tanzania ni siku ya Disemba 9, ambapo watanzania wote wanaadhimisha silu ya uhuru wa Tanzania, hivyo tumeona ni vyema mashindano ya Miss Utalii Tanzania yakawa ni sehemu ya sherehe ya uhuru wa Tanzania, ili kuonyesha na kutangaza Utalii na utamaduni wa Tanzania kitaifa na kimataifa kila mwaka,ambapo watanzania nchi nzima wataungana na warembo wa Miss Utalii Tanzania katika ngazi zote kusherekea siku ya uhuru katika moja ya vivutio vya utalii vilivyopo katika mikoa yao na taifa, huku wakitangaza pia utamaduni,bidhaa na mianya ya uwekezaji ya Tanzania kila mwaka

No comments: