MISS TOURISM TANZANIA INTERNATIONAL

MISS TOURISM TANZANIA INTERNATIONAL
Miss Tourism Tanzania Pageants

Miss Tourism Tanzania Pageant

Miss Tourism Tanzania Pageant
We Welcome Miss Tourism Tanzania Organisation

Miss Tourism World 2005- Africa

MISS TOURISM TANZANIA PAGEANT

AMANI YA TANZANIA SILAHA NA NGUZO YA UTALII

Nivigumu kutenganisha hata kwa sekunde moja amani na utalii,katika nchi yoyote duniani.Bila amani hakuna mtalii.Utalii ni kati ya nyenzo madhubuti ya kukuza uchumi na kupambana na umasikini.Utalii unachangia zaidi ya 17% ya pato la Tanzania na zaidi ya 25% ya pato la fedha za kigeni kila mwaka na 12% ya ajira zote duniani inatokana na sekta ya utalii. Nikutokana na umuhimu huo wa sekta utalii katika nchi, ndiyo maana kika Taifa linafanya juhudi kubwa kutangaza na kulinda utalii wa nchi zao, halii hii pia imepelekea ushinfani mkubwa miongoni mwa mataifa ya dunia kuvutia watalii katika nchi zao,kwa kutumia mbinu mbalimbali halali na zisizo halali.Mbinu hizo ni pamoja na propaganda za uhalisia wa viliko vivutio husika na hata kutumia hila na uchochezi wenyekulega uvunjifu wa amani katika nchi pinzani au jirani.

Matukuo ya hivi karibuni kule Zanzibar ,ikiwa ni washindani wakuu wa fukwe za nchi jirani yetu,ambako biashara ya utalii imeshuka kutokana na vurugu na uhosefu wa amani ktk nchi hizo jirani zetu, zinaweza kuwa ni moja ya mbinu za nchi hizo jirani kuhujumu utalii nchini mwetu. Wakati sasa umefika ,tena wakati sahihi kwa kila mtanzania kuunga mkono juhudi za serikali kulinda na kudumisha amani,ili kutovuruga utalii wetu

No comments: