Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

Miss Utalii Kagera wajiandaa vizuri na mpambano wao leo usiku!


  Muandaaji wa chakula hiki akiongea na wanahabar na mkurugenzi wa Fiosmini hotel iliopo mjini Bukoba. Kamati nzima ya miss Utall Kagera 2012 kukaribishwa chakula cha ASILI siku moja kabla ya mpambano.
Shindano hili litafanyika hii leo Jumamosi 14-7-2012 katika ukumbi wa linaz night Club. na kusindikizwa na Diamond music Band.
 Warembo baada ya chakula wakifanya mazoezi ya kucheza muziki wa I"LEKA TUDIGIDE ulio imbwa na wasanii wa Kigoma all star
 wadau wakipata chakula cha asili
 Msosi tyme
 Mapumziko
 wadau wakipata chakula cha asili,yupo pia  Ndg Marrison Kapiga wa Clouds Fm 

na yupo msanii wa nyimbo za injili Jane MISSO na mkurugenzi wa Cosad Ndg Smart Baitani


 mapozi
 BK Oye!
 Taswira
 Mwenye taji ni Miss Utalii Tanzania 210-2011 Miss Eva Mery Gamba
 Warembo baada ya chakula wakifanya mazoezi ya kucheza muziki wa I"LEKA TUDIGIDE 

No comments: