Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

Warembo watakao wania taji la Miss Utalii Kinondoni waendelea na mazoezi ya nguvu


Washiriki wa Miss Tourism Kinondoni wakiwa katika Pozi ndani ya Kambi yao ambapo, wanafanyia mazoezi kwa ajili ya fainali hizo zitakazo fanyika Tar 20.07.2012

 Warembo washiriki wa Miss Tourism Kinondoni wakiwa wamevalia Nguo za heshima huku kila mmoja akiwa katika pozi la Nguvu, Kambini wakati wa maandalizi ya kumpata mrembo wa Miss Utalii Kinindoni 

Kuona picha zaidi na kupata update zote Jiunge na Page yetu sasa kwa kubofya hapa chini 
No comments: