Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

New!! MEET THE MISS TOURISM TANZANIA 2012 - ILALA CONTESTANT 2012













Pia Like Page yetu Bofya hapa chini

6 comments:

Anonymous said...

warembo wamependeza sana huyo wa pili ni mzuri namuombea afanye vizuri na huyo wa kwanza pia otherwise mungu awabariki wote mfanye vizuri.

Anonymous said...

katika top three yangu ni huyo wa pili winner, wa tano first runner up na wa kwanza second runner up. Hongereni kwa maandalizi mazuri.

Anonymous said...

mshindi ni huyo wa pili, wa tano na wa kwanza.

Anonymous said...

jamani mmeanza vizuri lakini wapelekeni salon ili wazidi kumeremeta hamna wadhamini wa saloni? Ndo kazi yao kuwapendezesha warembo.huyo wa pili mzuri ila matunzo hakuna hapo nileteeni nimdhamini.

happy said...

jamnani nyie majaji?Au mnaangalia sura tu kwenye kujaji kuna mambo mengi mshindi hajulika tuwaombee wote tusubiri fainali hee!anaweza akawa mzuri halafu kichwani hakuna kitu.

Anonymous said...

washiriki wa miss utalii ilala kazaneni mfike hadi taifa ikiwezekana dunia na mjitahidi kujinoa ili muwe mabalozi wazuri mi sipendi kutabiri nitawavunja moyo wengine sio vizuri mungu awatangulie mfanye vizuri wote na msali pia.