Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

IKONDOLELO LODGE, OFFICIAL HOTEL CAMP FOR MISS TOURISM TANZANIA INTERNATIONAL PAGEANT 2012

 HAPA NI LANGO KUU LA KUINGILIA IKONDOLEO LODGE


 HUU NI UKUMBI MDOGO WA KUFANYIA MIKUTANDO NDANI YA IKONDOLELO LODGE
 HILI NI JENGO AMBAPO KUNA UKUMBI PAMOJA NA  PACKING AMBAYO INA USAAMA WA KUTOSHA

 HILI NI ENEO AMBALO KUNA VYUMBA VIZURI NA VYENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA AJILI YA WATU KULALA.
 HII NI BUSTANI AMBAYO INA KIVULI KIZURI , HAPA UNAWEZA KUJIPUMZISHA NA KUFANYA SHEREHE NDOGO.
HII NI RESTAURANT AMBAYO IKONDOLELO LODGE WANATOA HUDUMA ZOTE MUHIMU NA KUMJALI MTEJA NA KUMSIKILIZA MTEJA, HAPA MMOJA WA WAHUDUMU AKIWA ANAWAHUDUMIA WATEJA HUKU AKIWASIKILIZA KWA UMAKINI
HII NI RESTAURANT AMBAYO INAUWEZO WA KUCHUKUA WATU WENGI


HIVI NI VYUMBA AMBAVYO MA MISS HAO WATAPATA KULALA, KUNA KILA KITU NDANI IKIWEMO KIYOYOZI,FRIDGE,TELEVISION,  PAMOJA NA VYOO AMBAVYO VIPO KATIKA UBORA WA HARI YA JUU
MUHUDUMU WA IKONDOLELO LODGE UPANDE WA MAPOKEZI AKIWA ANAMWELEKEZA MMOJA WA WATEJA WALIOFIKA HAPO JINSI YA KUJAZA FOMU
WATEJA WAKIWA WANASHUKURU KWA KUPATA HUDUMA BORA KABISA NDANI YA IKONDOLELO LODGE
BAADHI YA WATU WAKIWA WAMETOKEA MBEZI BEACH NA KUJA IKONDOLELO LODGE KWA AJILI YA KUJA KUJUMUIKA NA WADAU WENGINE KUMALIZIA WEEK END SIKU YA JUMAPILI.
BAADHI YA WAGENI WAKIWA WANAONDOKA HUKU WENGINE WAKIWA WANAINGIA NDANI YA IKONDOLELO LODGE, PIA KUNA ULINZI ULIO KAMILIKA.
KUSHOTO NI MUHUDUMU WA IKONDOLELO LODGE AKIWA ANAWAKARIBISHA WATEJA KUTOKEA GETINI.WATEJA WAKIWA WANAPATA HUDUMA MBALIMBALI 
BAADHI YA WATEJA WAKIWA KATIKA MICHEZO MBALIMBALI
HIKI NI CHAKULA BORA AMBACHO KIMEANDALIWA KATIKA USTADI MKUBWA NDANI YA IKONDOLELO LODGE 

COUNTER YA VINYWAJI VYOTE NDANI YA IKONDOLELO LODGE 
HII NI SEHEMU AMBAYO WATEJA WANAPAKI MAGARI YAO, ENEO HILI KUNA UHAKIKA MKUBWA WA USALAMA

HII NI SEHEMU YA KUOGELEA 
MMOJA YA WATEJA AKIWA ANAFURAHIA CHAKULA KITAMU KUTOKA IKONDOLELO LODGE
BAADHI YA WATU WALIOFIKA  KATIKA SEHEMU YA KUOGELEA 

No comments: