Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

JOHN GUNINITA MAKAMU MWENYEKITI MISS UTALII TANZANIA


JOHN GUNINITA MAKAMU MWENYEKITI  BODI MISS UTALII TANZANIA


Bodi ya Miss Tourism Tanzania Organisation,yenye dhima ya kikomo ya kuaandaa na kuendesha mashindano ya Miss Utalii Tanzania ,imemteua Ndugu John Guninita kuwa Makamu mwenyeketi ya bodi ya Mashindano ya Miss Utalii Tanzania. Uteuzi huo utakuwa ni wa miaka mitatu kuanzia tarehe 22-10-2012.


Akuthibitisha uteuzi huo, Gideon Chipungahelo,Rais wa Miss Utalii Tanzania, hatua hii ni moja ya utekelezaji mpango mkakati wa kuimalisha mashindano na uongozi wa mashindano haya.

Mabadiliko ya mfumo wa uongozi na uendeshaji wa mashindano ni pamoja na kuinalisha uongozi, na ni hatua madhubuti za ulifanya shindano la Miss Utalii Tanzania kuwa shindano bora na kubwa zaidi hapa nchini ,Afrika na nje ya bara la Afrika.

 Uteuzi huu wa Ndugu Guninita ambaye alikuwa mwenyekiti wa mkoa wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dar es Salaam ,ni kutokana na bodi kuzingatia busara,hekima na uzoefu mkubwa katika uongozi wa Jamii na jumuiya mbalilmbali za kutaifa na kimataifa.

 Bodi inaamini kuwa uwepo wa Ndugu Guninita kama Makamu mwenyekuti katika bodi ya mashindano haya,sambamba na wajumbe wengine wateule wa bodi ,kutafungua ukurasa mpaya kwa mashindano haya, ambayo ni dira na mwelekeo wa dhati wa kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na Dunia kwa ujumla

Asante,

Miss Utalii Tanzania Alama ya urithi wa Taifa – Ewe Mtanzania Tembelea na tangaza Hifadhi za Taifa – Utalii ni Maisha , Utamdauni ni Uhai wa taifa

No comments: