Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WASHIRIKI WA MISS UTALII 2012/2013 WAKIWA WANAJAZA FOMU MAALUM ZA USHIRIKI

 Warembo wakiwa wanasikiliza jambo kwa umakini wakiwa wanaelekezwa kujaza fomu maalum kwa ajili ya ushiriki
 Mmoja wa wajumbe wa kamati ya miss utalii Tanzania akiwaelekeza washiriki wa jinsi ya kujaza Fomu Warembo wakifuatilia kwa umakini maelekezo ya kujaza fomu maalum 

Mmoja wa washiriki 
 Mrembo akisikiliza kwa umakini
 Mmoja wa warembo akiwa anajaza fomu maalum za washiriki  Mmoja wa washiriki wa miss utalii Tanzania akiwa anauliza swali  Mshiriki wa Miss utalii 2012/2013 akisoma kwa makini fomu hizo maalum 
 Hapa mrembo alikuwa anaumiza kichwa kusoma na kuelewa nini anatakiwa aandike katika fomu 
 Mrembo akiwa anajaza fomu maalum za ushiriki 
Zoezi la kujaza fomu linaendelea 

No comments: