Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA WAKIPATA CHAKULA CHA MCHANA IKONDOLELO LODGE

 Warembo wa Miss Utalii Tanzania wakiwa wanapata chakula 

a Baadhi ya warembo wakiwa wanatazama Kamera wakati wakiendelea kula

 Kila mmoja akiwa Bize anakula  Chakula Kitamu Kutoka Ikondolelo Lodge  Kila mmoja na Style yake yakula 

 Mmoja wa warembo akipata Ukodaki na Kipande cha kuku
 Chakula ni kitamu sana kila mmoja anakifurahia 
 Dalili za kushiba kila mmoja anachezea uma yake 
 Hapa ilikuwa ni mwendo wa kula , kulikuwa hakuna maongezi mpaka muda wa kumaliza chakula.
 Hawa Ni Baadhi ya Washiriki wa Fainali za Miss Utalii Tanzania 2012/2013 wakiwa wanapata chakula cha mchana.

No comments: