Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/2013 WATEMBELEA MWANANCHI CORP LIMITED WACHAPISHAJI WA MAGAZETI YA MWANANCHI


 WASHIRIKI WA MISS UTALII TAIFA 2012 /13 WAKIWA WANAANZA SAFARI YAO KUTOKA KAMBINI KUELEKEA MWANANCHI CORP WACHAPISHAJI WA MAAZETI YA MWANANCHI

 WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA WAKIWA WAMEWASILI KATIKA OFISI ZA MWANANCHI.
 MUHUSIKA MAALUM AMBAYE ALIANDALIWA KUWATEMBEZA IDARA ZOTE WAREMBO WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 , AKITOA MAELEKEZO YA MUHIMU KABLA YA KUANZA KUTEMBEZWA
 WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA WAKIWA WANASIKILIZA MAELEKEZO KWA MAKINI KABLA YA KUINGIA CHUMBA MAALUM CHA HABARI MWANANCHI.
 WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/2013 WAKIWA WAMEWASILI CHUMBA CHA HABARI
 MHARIRI MKUU WA GAZETI LA MWANANCHI AKIWA ANAWAPA MAELEKEZO WAREMBO WA MISS UTALII TANZANIA JINSI KAZI ZAO ZINAVYO FANYIKA
 WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 WAKIWA WANASIKILIZA KWA UMAKINI MHARIRI
 WALLIMU WA WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA WAKIWA WANASIKILIZA KWA UMAKINI


 WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA WAKIWA KATIKA KITENGO CHA GRAPHICS, UTENGENEZAJI WA PICHA PAMOJA NA UTENGENEZAJI WA MWONEKANO WA GAZETI.

 MTAALAM WA MAMBO YA GRAPHICS AKIWA ANASISITIZA JAMBO

 MTAALAM WA KITENGO CHA MICHEZO AKISISITIZA JAMBO


A

5 comments:

mwinyi blog said...

Erika Eribaliki anafaa kuwa miss utalii,,ni mzuri sana, mavazi yake na matendo

mwinyi blog said...

nampigia kura erika eribaliki

mwinyi blog said...

erika mshiriki toka dodoma anafaa kuwa miss utalii tanzania

mwinyi blog said...

Is Erika who is beautiful to represent tz as miss tourism

mwinyi blog said...

erika eribaliki, anafaa kuwa miss utalii sbb beautiful enough to represent tz