Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 , WATEMBELEA GAZETI LA JAMBO LEO

 Washiriki wa Miss Utalii  wakiwa wamewasili katika ofisi za Jambo Leo


Washiriki wa Miss Utalii 2012/13 wakiwa wanaelekea katika Gazeti la Jambo leo
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa wanakaribishwa Rasmi katika Ofisi za Jambo Leo

Hili Ndilo lilikuwa Gazeti la Kwanza kabisa la Jambo Leo

Mhalili wa Habari za Michezo akiwa anazungumza Jambo


 Mtaalam wa Mambo ya Graphics akiwa anawaelekeza Washiriki wa Miss Utalii jinsi  Magazeti yanavyo tengenezwa

 Wahariri wakiwa wanaeleza Jamboa
 Mtaalam wa Masoko akisisitiza Jambo


 Graphic Designer wa Jambo leo akiwa anasisitiza kitu


 Washiriki wa Miss utalii wakiwa wanasikiliza Jambo kwa umakini
 Washiriki wa Miss utalii wakiwa wanasoma Magazeti
 Baadhi ya Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa wanaelekezwa jambo katika Magazine ya Jambo leo

 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanachukua Majarida pamoja na Magazine Baada ya kumaliza Ziara yao ya mafunzo katika Gazeti la Jambo leo.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanaondoka baada ya kumaliza kutembelea Gazeti la Jambo Leo

No comments: