Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA KATIKA FAINALI ZA 2012/13 , WATEMBELEA BUSINESS TIMES

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania walipo wasili Business Tiumes
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanamsikiliza kwa umakini muhusika wa Gazeti la Business Times.
 Mhariri wa Gazeti la Business Times, aliye mbele akipokea utambulisho wa warembo wa Miss Utalii Tanzania
 Mmoja wa wafanyakazi wa Business Times akiwa anatoa maelekezo 

 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakimsikiliza kwa umakini Mhariri Mkuu , Business Times
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Wakiwa wanasikiliza Jambo kwa Umakini 
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanapata maelekezo ya kina ya jinsi Gani habari zinaweza kupatikana mpaka zikamfikia msomaji
 Mmoja wa wahariri akiwa anajiandaa kutoa Maelekezo
 Mmoja wa wafanyakazi wa Business Times akiongea JamboNo comments: