Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA WATEMBELEA OFISI ZA FREE MEDIA, WACHAPISHAJI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanawasili katika ofisi za Free Media
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa wanapata utambulisho mfupi baada ya kuwasili Free Media


 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/2013 wakiwa wanasikiliza na kuandika jambo
 Mmoja wa wafanyakazi wa Free Media akiwa anaelezea jambo kuhusu utendaji wao wa Free Media Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa wanaendelea kutembelea na matembezi katika  ofisi za Free Media
 Mmoja wa waandishi wa Free Media akiwa anazungumza jambo pamoja na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania
No comments: