Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

Chuo Kikuu cha Waandishi wa habari chawapongeza washiriki miss utalii Tanzania taifa2012/13(School of Journalism and Mass Communication)Raisi wa Miss Utalii Tanzania Ndugu Erasto G. Chipungahelo akimkaribisha Mratibu wa masoko wa Chuo kikuu cha Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma.

Mratibu Mkuu wa Masoko wa School of Journalism and Mass Communication Bi . Sophia akizungumza Jambo Na washiriki wa Miss Utalii Tanzanaia Taifa 2012/13 
Mratibu wa Masoko wa Chuo kikuu cha waandishi wa Habari akisikilaza kwa umakini salamu za Shukurani, Muda mchache baada ya yeye Kumaliza kuongea.

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13wakiwa katika picha ya pamoja na Mratibu wa 
Masoko wa Chuo Hicho Bi Sophia Ndibalema.


Chuo Kikuu cha Waandishi wa kimewapongeza Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 kwa elimu walizo nazo na kuwasihi watumie elimu zao kutangaza utalii wa Tanzania Jambo ambalo lina manufaa makubwa kwa jamii ya Watanzania Akizungumza na washiriki hao Kijitonyama Jijini Dar es salaam, Mratibu wa masoko wa chuo hicho
ndugu Sophia Ndibalema aliwataka kutumia Fulsa ya kuwa warembo hasa utalii kwa kujitaftia nafasi zaidi za elimu ya juu   kwa manufaa yao Jamii na Taifa kwa ujumla, alisema nafasi zipo wazi kwa wale wenye kuhitaji na wenye sifa za kujiunga chuoni hapo kwa nafasi ya Cheti, Diploma na Shahada, alisema amefurahishwa na muonekano wa asili na mavazi ya heshima kwa washiriki hao hivyo kuondoa dhana kuwa washiriki wa urembo kuwa ni wale wanaovaa mavazi yenye  Kudhalilisha jamii hii inathibitisha kuwa Miss Utalii ni Zaidi ya Mashindano Mengine na ni Alama ya Urithi wa Taifa na kielelezo cha mwanamke au Binti wa Kitanzania No comments: