MISS TOURISM TANZANIA INTERNATIONAL

MISS TOURISM TANZANIA INTERNATIONAL
Miss Tourism Tanzania Pageants

Miss Tourism Tanzania Pageant

Miss Tourism Tanzania Pageant
We Welcome Miss Tourism Tanzania Organisation

Miss Tourism World 2005- Africa

MISS TOURISM TANZANIA PAGEANT

Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Akutana na Kamati ya Maandalizi Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13


 Raisi wa Miss Utalii Tanzania Ndugu Erasto G. Chipungahelo wa Kwanza Kushoto, Kaimu Mustahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Muheshimiwa Songolo pamoja na Ndugu Adam Chipungahelo, wakati walipofika katika Ofisi yake.
 Raisi wa Miss Utalii Tanzania Ndugu Erasto G. Chipungahelo akizungumza Jambo
 Naibu Mustahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Muheshimiwa  Songolo  akiwa anafuatilia kwa umakini kikao.
Muheshimiwa  Songolo Naibu Mustahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni , akizungumza jambo.



Kamati ya Maandalizi ya Miss Utalii Tanzania Ikiongozwa na Rais wa Mashindano hayo Ndugu Erasto G. Chipungahelo Leo Tarehe 12.03.2013 Ndugu..... katika ofisi yake iliyopo Kinondoni Manispaa Jijini Dar es salaam Akiwa ameambatana na Baadhi ya Viongozi wa Kamati hiyo ambaye ni Ndugu Adam Chipungahelo ambaye ni Mratibu wa Matukio Miss Utalii Tanzania na Bwana Fredy Njeje ambaye ni Meneja wa Masoko na mahusiano Miss Utalii Tanzania, Ndugu Chipugahelo Alimshukuru Naibu Mustahiki Meya kwa  mapokezi na ushirikiano wanayo pata kutoka kwa Manispaa hiyo ambapo warembo wapo kambini katika Hoteli ya Ikondolelo Lodge iliyopo Kibamba  Manispaa ya Kinondoni. Amemuhakikishia Naibu Meya Kuwa Miss Utalii Tanzania Imejipanga kutangaza Utalii, Utamaduni na Mianya ya uwekezaji Manispaa ya Kinondoni kitaifa na Kimataifa ili hatimaye Kinondoni iwe kati ya Wilaya nchini.

Akizungumza katika Kikao Hicho Naibu Mustahiki Meya Aliwashukuru waandaaji wa Mashindano Hayo kwa Kuteuwa Manispaa ya Kinondoni kuwa makazi ya warembo wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13. Hii ni Fulsa pekee kwa Manispaa yetu kimataifa na Kimataifa  lakini pia ni Fulsa kwa Manispaa ya Kinondoni kuuthibitishia Ulimwengu kuwa Tunavivutio vingi vya utalii kuanzia mahoteli, Maeneo ya kihistoria
, Fukwe za Bahari na visiwa vya kuvutia vya Bahari, Aliwahakikishia waandaaji ushirikiano wa Hali na mali,ulinzi na ukarimu  kwa wakati wote watakapo kuwepo kambini ndani ya Manispaa ya Kinondoni.

No comments: