Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEONShindano hili linasaidia pia Kuhamasisha pia Kampeni dhidiya , Uharibifu wa mazingira, Uvuvi Haramu, Uwindaji Haramu, Tohara kwa wanawake, Utamaduni, mila na Desturi kongwe na Potofu.Madawa ya kulevya, Rushwa, Ubaguzi wa Kijinsia, na Mmomonyoko wa Maadili katika jamii.

Wakati huo serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imewapongeza juhudi zinazo fanywana Waandaaji wa Miss Utalii Tanzania  za kutangaza vivutio vya utalii na utamaduni wa Tanzania kitaifa na kimataifa kwa kuipatia Sifa kubwa Tanzania kupitia mashindano hayo. Kwa mujibu wa maelezo ya Barua ya Tarehe 19.04.2013 iliyo sainiwa na Ndugu Z. A Kimwaga kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii kwenda kwa waandaaji wa Miss Utalii Tanzania. Wizara na serikali kwa ujumla inatambua juhudi zinazofanywa na waandaaji wa mashindano haya katika kukuza utalii wa ndani na Utalii wa Kitamaduni.
Katika kuthibitisha hilo Wizara imewashauri waandaaji wa mashindano hayo kuwaslisha maoombi ya msaada kutoka serikalini kwa wakati na kwa kuzingatia misimu na Bajeti ta serikali ili kuwe na uwezekano wa serikali Kudhamini mashindano hayo.

 Hata hivyo Serikali kupitia Taasisi zake za Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa(TANAPA) , Mamlaka ya Ngorongoro(NCIA), na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa miaka yote ikiwepo mwaka huu imekuwa ikitoa udhamini wa Hali na Mali katika kufanikisha Mashindano hayo.
Nae Rais wa Mashindano hayo Gidion Chipungahelo kwa niaba ya Bodi ya Mashindano amewaomba Radhi watanzania wote , wadau w ashindano , washiriki, wadhamini na wengine wote walioguswa au kuathiriwa kwa namna yoyote

3 comments:

Anonymous said...

You don't have to hit the gym for two and three hours each day to lose weight, but it does help to squeeze in 30 minutes of physical activity each day. Cucumber contains sterols which can help to lower cholesterol and prevent carbohydrates from converting to body fat. Expect to lose all that extra flabbiness as you melt off all your unwanted fat.

Here is my homepage: http://photofan.jp/camera/html/userinfo.php?uid=18912

Anonymous said...

The first group were asked to listen a nutrition and
fitness related podcast a few times a week. Using social media for marketing your company, products or services is a superb method of getting clients and enhance your sales.
With the new advanced birdy adder pro you get awesome technical assistance.


My webpage: how to delete twitter account from phone

Anonymous said...

I have been in touch with many musicians, artists that I
would have never heard before. Unlike broadcast radio which is an audio-only medium, Internet radio stations are free to
offer interactive programming and can include images, animation, and even video.

Most stations will give you names of their more popular hosts and ask you to talk
with them.

My web site - Universal Network - Seo Danışmanlığı