Miss Tourism World 2005- Africa

Miss Tourism  World 2005- Africa
Africa Tourism Promotion Centre

NGORONGORO CRATER

NGORONGORO CRATER
We Welcome Miss University Tourism World 2014 Contestants to Africa

THE GIDEON

WASHIRIKI KATIKA SHINDANO LA KUMSAKA MISSS UTALII KAGERA 2012 WATEMBELEA BANDARI YA BUKOBA NA MELI YA MV.VICTORIA


 Warembo wakiingia melini.
 Meneja wa Kampuni ya Kiroyera Tours akitoa maelezo kwa Warembo hawa
 baadhi ya warembo katika pozy.
 Muandaaji wa Onyesho hili Bi Dinna  akimshkuru AFISA wa Bandari ndg Msese.
 Afisa wa Bandari Mdau Ajuaye Kheri Msese akiwapa somo walimbwende katika kuwapa uelewa zaidi wa mambo mbalimbali.
 Warembo wakiwa wamependeza

 Washiriki wakipata maelezo kama sehemu ya huduma bora na kuwajali wateja , anaonekana Ndg Alex akitoa ufafanuzi zaidi juu ya vitanda safi na imara .
Mkuu wa Bandari Ndg Ernest Nyambo akisalimiana na walimbwende hawa
Kwa husani ya Mdau kutoka Bukoba wadau Blog

No comments: